fahamu Wahindi wanavyofunzwa kuwatambulisha wapenzi wao wa Kiafrika
Mwafrika mweusi Jonah Batambuze pamoja na mkewe Swetha alie na asili ya Kihindi kutoka Marekani wameanzisha mradi unaoitwa Blindian project kusaidia wapenzi wanaotoka katika kabila la Wahindi kujua namna ya kuwatambulisha wapenzi wao wa kiafrika kwa familia zao. Amesema hii imekuwa tatizo kubwa la watu aina hio kupendana na kuchumbiana huru .Tazama video kwenye tovuti ya BBC.