Profesa James asema usipooga hunuki sana

Maelezo ya sauti, Profesa James kutoka Marekani asema usipooga hunuki sana

James Hamblin,ni mtaalam wa dawa ya kinga na profesa katika Chuo Kikuu cha Yale Nchini Marekani ambaye amekaa bila kuoga kwa muda wa miaka miwili. Anasema muda unafika unajiskia kawaida tu na haunuki vibaya sana kama inavyotarajiwa..Je wewe Unaweza kukaa siku ngapi bila kuoga? Tupe maoni bbcswahili.