Mbwa aokolewa ndani ya povu la bahari

Maelezo ya sauti, Mwanamke mmoja amuokoa mbwa wake ndani ya povu la bahari

Mwanamke mmoja huko Byron Bay Australia alifanikiwa kumuokoa mbwa wake, ambaye alikuwa amepotea ndani ya bahari ya povu,baada ya hali mbaya ya hewa na mawimbi makali ikipiga pwani ya mashariki ya nchi hiyo. zaidi ya nyumba 2,000 katika miji hiyo zilikuwa zimekosa umeme.Tazama video kwenye tovuti ya BBC.