Ubunifu wa mifuko ya plastiki katika mitindo

Maelezo ya sauti, Ubunifu wa mifuko ya plastiki katika mitindo

Mpiga picha kutoka Nigeria Obinna Obioma anatumia njia mbali mbali za ubunifu kugeuza mifuko ya plastiki kuwa mtindo wa mavazi bora zaidi nchini humo. Kwa nini aliamua kuja na wazo hilo ? Tembelea tovuti ya BBC ujisomee taarifa hiyo kwa kina.