Amazon yafungua duka la dawa la mtandaoni

Maelezo ya sauti, Amazon yafungua duka la mtandaoni

Kampuni kubwa ya mauzo, Amazon imezindua duka la dawa kupitia mtandao ambalo litawaruhusu wateja wake kununua dawa. Wanunuzi wakuu watawasilishiwa bidhaa zao bure kwa siku mbili za kwanza na kupunguziwa bei hadi asilimia 80% kwa dawa za kawaida na zile halisi kwa asilimia 40%.Je umewahi kununua bidhaa aina yeyote kupitia kampuni ya Amazon? Sema nasi BBCSWAHILI