Njiwa aweka rekodi mpya kwa kuuzwa Euro milioni 1.6m
Njiwa mmoja kutoka Ubelgiji ameweka rekodi mpya baada ya kuuzwa kwa Euro milioni 1.6m, njiwa huyo wa kike mwenye miaka miwili mwanzoni alipigwa mnada kwa euro 200 tu, lakini akanunuliwa na raia mmoja kutoka China hapo jana Jumapili. Je unaweza kununua mnyama kwa fedha kiasi hicho? sema nasi bbcswahili.
