Almasi iliyo nadra zaidi yauzwa kwa dola milioni 26.6

Almasi nadra kutoka urusi ya rangi ya zambarau-nyekundu imeuzwa kupitia mnada huko Uswizi kwa dola milioni $ 26.6m.

Almasi hiyo yenye uzito wa karati 14.8 ndio kubwa zaidi ya aina yake kuuzwa.kwa ufahamu zaidi tembelea tovuti ya BBC