Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Ni rasmi Cardi B atabakia kwa ndoa yake na Offset.
Nyota wa Rap Cardi B na Offset wanazidi kupigania ndoa yao. Cardi B aliwasilisha talaka mwezi uliopita na wakati huo, aliuita uhusiano wao ni usioweza kuimarika kabisa. Wawili hao walirudiana hadharani wakati wa sherehe ya kuzaliwa kwa Cardi B ya miaka huko Las Vegas.