Corona: Je, Ronaldo atafaulu kupambana na Messi wiki ijayo?

Maelezo ya sauti, Corona: Je, Ronaldo atafaulu kupambana na Messi wiki ijayo?

Kuna uwezekano nyota wa soka duniani Cristiano Ronaldo akajumuishwa katika kikosi kitakachovaana na Barcelona kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya wiki ijayo licha ya vipimo vya mara ya pili kuonyesha kuwa bado ana virusi vya Corona. Ronaldo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vingine saa 24 kabla ya mchezo ili kufahamu iwapo atakutana na hasimu wake mkubwa kiwanjani Lionel Messi.