Korti yatupilia mbali mashtaka ya ulawiti dhidi ya Michael Jackson

Maelezo ya sauti, Korti yatupilia mbali mashtaka ya ulawiti dhidi ya Michael Jackson

Jaji mmoja nchini Marekani ametupilia mbali kesi iliowasilishwa mbele yake ya kumshutumu mwanamuziki marehemu Michael Jackson, kwa madai ya ulawiti. James Safechuck amedai nyota huyo alimnyanyasa yeye na watoto wengine.Hata hivyo jaji huyo amesema kampuni hizo hazikuwa na jukumu la kumtunza Bwana Safechuck.