Vazi la Stormzy, lapewa tuzo ya mitindo ya Beazley.

Maelezo ya sauti, Vazi la Stormzy kwenye tamasha la Glastonbury, lapewa tuzo ya mitindo ya Beazley.

Vazi aina ya vesti alilolivaa mwanamuziki wa miondoko ya kufokafoka kutoka Uingereza Stormzy wakati wa tamasha ya Glastonbury mwaka uliopita, limetajwa kupata tuzo ya mitindo ya Beazley. Stormzy alivaa vazi hilo linalokinga dhidi ya shambulio la visu, ili kuhamasisha watu kuhusu ubaguzi wa rangi. Own it ni kibao kinachopendwa na wengi