Mapacha walioungana wafanyiwa upasuaji wa saa 50
Watoto mapacha wa kike waliozaliwa wakiwa wameungana vichwa vyao na kisha kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha hali hiyo kwa sasa wamerejea nchini mwao Pakistan baada ya kukaa mjini London kwa miaka miwili.
Safa na Marwa Bibi walifanyiwa operesheni kuu tatu, zilizochukua zaidi ya saa 50 katika chumba cha upasuaji.
Tazama video kwenye tovuti ya BBC.
