Mtoto Amina apewa matumaini ya kutembea
Amina ni mtoto aliepigwa risasi tatu mguuni masaa mawili tu baada ya kuzaliwa wakati wapiganaji walipovamia hospitali ya kina mama huko Kabul afganistan.
Mama yake amina aliuawa.
Madaktari waliomtibu walihofia maisha yake lakini sasa, akiwa na miezi mitano, wana matumaini kuwa siku moja atatembea.
Tazama video kwenye tovuti ya BBC.
