Netflix kuonyesha filamu ya Shawn Mendes
Filamu inayoelezea maisha ya mwanamuziki Shawn Mendes ya In Wonder sasa itaonyeshwa kupitia mtandao wa Netflix itakapokuwa tayari November 23.
Filamu hiyo imeelekezwa na Grant Singer ambaye amefanya kazi na wanamuziki wengine waliosifika kama vile Lorde, The Weeknd na Sam Smith. Shawn Mendez amesifika na kibao hiki cha treat you better