Fainali NBA: Los Angeles Lakers washinda Miami Heat

Maelezo ya sauti, Fainali NBA: Los Angeles Lakers waishinda Miami Heat

Los Angeles Lakers wamemaliza kusubiri kwa muongo mmoja kwa taji la 17 la NBA walipoishinda Miami Heat vikapu 106- kwa 93. Mara ya mwisho walishinda taji la NBA ni mwaka wa 2010, lakini ni miaka sita walioshindwa kufuzu kuwania michuano ya Play offs ilioonyesha kuwa mchezo wao ulikuwa unadorora.