Mwanamuziki kutoka Marekani aomba msaada wa Figo
Mwanamuziki wa Rap kutoka Marekani Scarface anatafuta mtu wa kumpa figo baada ya kupona virusi vya corona vilivyosababisha uharibifu wa kioungo hicho cha mwili. Scarface alitoa ombi kwenye ukurasa wake wa twitter siku ya jumatano huku mashabiki zake wengi wakijitolea kumsaidia.On My Block ni kibao kinachopendwa na wengi.
