Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mchezaji tenisi atoa heshma kwa waathiriwa wa ubaguz.
Mchezaji tenisi Naomi Osaka amekuwa akiwapa heshma waathiriwa weusi wa ubaguzi wa rangi kwa kuvalia barakoa zilizo na majina yao katika mashindano ya US Open. Katika shindano lake la hivi karibuni alivalia barakoa ilioandikwa George Floyd,mmarekani mweusi alieuwawa mikonoi mwa polisi.Hata hivyo familia za waathiriwa zimempongeza kwa tukio hilo.