Keeping Up with the Kardashians: Kipindi maarufu nchini Marekani kukamilika mwaka ujao

Maelezo ya sauti, Kindi maarufu nchini Marekani chakamilika mwaka ujao

Kipindi maarufu cha televisheni cha Marekani cha Keeping Up With The Kardashians, kinafikia mwisho mapema mwaka ujao. Kim Kardashian ametangaza kwenye ujumbe aliouandika kwenye mtandao wa Twitter ambao mashabiki walionekana kuhuzunika na hilo. Je, una kipindi unachokienzi kwa dhati ?sema nasi bbcswahili.