West Mathewson: Mhifadhi wa wanyama afariki baada ya kushambuliwa na simba anaowahifadhi Afrika Kusini

Maelezo ya sauti, Mhifadhi wanyama afariki baada ya kushambuliwa na simba

Mhifadhi wanyama maarufu nchini afrika kusini ameuwawa baada ya kushambuliwa na simba wawili weupe aliok uwa akiwatembeza. Mke wa West Mathewson, aliekuwa ndani ya gari akiwafuata, alijaribu kuwazuia simba hao lakini hakufanikiwa.umewahi kushuhudia kisa sawia na hiki eneo lako ?sema nasi