JT Head Avunja rekodi ya dunia kwa kupanda puto iliokwenda juu futi 300
Mtizame JT Head mtoto wa miaka minane kwenye tovuti ya BBC ,kutoka Georgia Marekani akivunja rekodi ya dunia kwa kuwa mtoto wa kwanza kupanda puto ama Hot Air Ballon peke yake, iliokwenda umbali wa futi 300.
