Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: KFC yaondoa neno "Finger Lickin' kwenye matangazo
Kampuni maarufu ya chakula ya KFC imeondoa maandishi ya neno "Finger Lickin' kwenye bango lao la matangazo ikizingatia uwepo wa janga la corona kwa sasa na kusema huu sio wakati mzuri .Hata hivyo wameahidi kurudisha maandishi hayo hali itakapo kuwa sawa.
Je unadhani neno hilo linachangia kivyovyote kueneza maambukizi ya virusi vya corona?