Mzee wa miaka 66 aokolewa na polisi

Maelezo ya sauti, Mzee wa miaka 66 aokolewa na polisi

Tizama video kwenye tovuti ya bbc ya afisa mmoja wa polisi katika jimbo la California, aliyefanya uamuzi wa haraka wa kumuokoa mzee wa miaka 66 ambaye nusra agongwe na gari la moshi. Mzee huyu alipelekwa hospitalini baadaye huku afisa huyo akipokea pongezi kemkem.