Walemavu wa macho wapata changamoto Nigeria
Cassandra ni kijana wa kike kutoka Nigeria anaeishi na ulemavu wa macho.Anaelezea changamoto anazopitia wakati huu wa janaga la corona hasa katika masomo.Amesema ni wakati sasa watu wanaoishi na ulemavu kusaidika ipasavyo nchini Nigeria.
