Dwayne 'The Rock' Johnson ni muigizaji anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani.

Maelezo ya sauti, Dwayne 'The Rock' Johnson ni muigizaji anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani.

Dwayne "Rock" Johnson ametajwa kuwa muigizaji wa kiume anayelipwa pesa nyingi Zaidi kwa mwaka wa pili mfululizo, kulingana na gazeti la Forbes. Muigizaji huyo ameripotiwa kupata dola $ 87. kati ya 1 Juni 2019 na 1 Juni 2020, pamoja na $ 23.5m kutoka kwa filamu ya shirika la Netflix la Red Notice.