Je, Microsoft kununua Tik Tok itaupunguzia masaibu?
Kampuni kubwa ya teknolojia nchini Marekani ya Microsoft imethibitisha kuwa inaendelea na mazungumzo ya kununua program ya Tik Tok inayomilikiwa na China.Afisa mkuu wa Microsoft Satya Nadella amesema alifanya kikao na Rais Donald Trump kuhusu hatua hiyo hapo jana Jumapili.Sema nasi BBCSwahili.