Madonna aweka video ya kutatanisha kuhusu tiba ya Covid 19 kwenye mtandao wa Instagram.

Maelezo ya sauti, Madonna aweka video ya kutatanisha kuhusu tiba ya Covid 19 kwenye mtandao wa Instagram.

Ujumbe wa mwanamziki maarufu wa pop Madonna kwenye mtandao wa Instagram umedhibitiwa baada ya mwanamziki huyo kuweka video kuwa kumepatikana chanjo yavirusi vya Corona na inafichwa kwa sababu matajiri wanataka kuzidi kutajirika tu. Video ya nyota huyo wa kibao cha imewekwa "False Information" na Instagram.