Wasichana watano wafungwa miaka miwili jela, Kulikoni?

Maelezo ya sauti, Wasichana watano wafungwa miaka miwili jela,Kulikoni?

Mahakama nchini Misri imewahukumu wasichana watano kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kosa la kuweka video zisizofaa kwenye mtandao wa TikTok. Wasichana hao pia wameamriwa kulipa faini ya dola elfu 19. Je unadhani huo ni uamuzi wa haki?... sema nasi.