Mboni ya jicho kuelezea hali ya kuogofya
Je wajua kuwa mboni ya jicho la mtu yaweza kuelezea iwapo mtu amepitia hali ya kuogofya katika maisha yake? Utafiti uliofanywa kwa pamoja na vyuo vikuu vya Swansea na Cardiff nchini Uingereza ulibaini kuwa mboni hua tofauti pale mtu aliepitia magumu hayo anapotizama picha za kuogofya ama za kufurahisha.Nini maoni yako kuhusu hili?