Marufuku ya wachezaji waliobadilisha jinsia
Kamati ya raga duniani huenda ikawapiga marufuku wanariadha wa kiume waliobadilisha muonekanao na kuwa wanawake kucheza mchezo huo kwa sababu ya masuala ya usalama. Itakuwa shirikisho la kwanza la kimataifa la michezo kuzuia watu wa aina hiyo kushiriki.
