Jinsi raia wa Mexico wanavyosaidiwa wakati wa Covid-19
Mexico ni moja wapo ya nchi zilizoathiriwa zaidi na virusi vya corona na zuio la kutotoka nje limesababisha ukosefu wa ajira huku serikali ikishtumiwa kupuuza raia wake.
kwa sasa magenge ya watu wanaouza madawa ya kulevya wameamua kuokoa hali kwa kugawa vyakula kwa familia maskini nchini humo.
Tazama video hiyo kwenye tovuti ya BBC.
