Virusi vya corona: Hukumu ya kifo kuanza tena Texas Marekani

Maelezo ya sauti, Hukumu ya kifo kuanza tena Marekani

Jimbo la Texas nchini Marekani limeamua kuanza tena kutekeleza hukumu ya kifo baada ya kuisimamisha hukumu hiyo kwa miezi mitano kufuati janga la corona. mtu wa kwanza atakua billy joe wardlow, anaekabiliwa na mashtaka ya mauwaji.je unadhani ni wakati sasa wa kuondoa hukumu ya kifo?sema nasi.