Patrick Mahomes asaini mkataba wa miaka 10

Maelezo ya sauti, Patrick Mahomes asaini mkataba wa miaka 10

Nyota wa NFL Patrick Mahomes amesaini kandarasi ya miaka10- na timu ya mpira ya Marekani ya Kansas City Chiefs ya thamani ya dola milioni 503. Hii ikiwa ni kandarasi ya pesa nyingi zaidi katika historia ya mchezo huo.Nini maoni yako kuhusu hili?