Virusi vya corona: Wagonjwa wa saratani walalama kuhusu matibabu
Maelfu ya wagonjwa wa saratani wamelazimika kuhairisha matibabu yao kwa sababu ya janga la virusi vya corona jambo linalowaweka kwenye hatari kubwa maishani.Tembelea tovuti ya BBC utazame video ya kuvunja moyo inayoonesha baadhi yao wakizunguzia ugumu wa safari zao za matibabu.
