Real Madrid yazindua timu ya wanawake 'Real Madrid Feminino'

Maelezo ya sauti, Real Madrid yazindua timu ya wanawake 'Real Madrid Feminino'

Real Madrid hatimaye imezindua timu ya wanawake- uamuzi uliopongezwa na kuitwa "chanya Timu hiyo imepewa jina la Real Madrid Femenino. Real Madrid ni miongoni mwa vilabu vikubwa vya mpira barani Ulaya ambavyo havikuwa na timu ya wanawake.