Afisa wa zamani wa polisi apewa dhamana kwa mauaji

Maelezo ya sauti, Afisa wa zamani wa polisi apewa dhamana kwa mauaji

Jaji mmoja amempa dhamana ya dola nusu milioni afisa wa zamani wa polisi Garret Rolfe aliyeshtakiwa kwa mauaji ya raia mweusi wa Marekani Rayshard Brooks mwezi uliopita. Hatua hii ni licha ya mjane wa Brooks kuiomba Mahakama kutofanya hivyo kwa misingi ya kuwa ni hatari kwa jamii. Nini maoni yako kuhusu uamuzi wa jaji huyu? Sema nasi…