Meneja wa lebo ya mziki ya WCB,amuomboleza mkewe

Maelezo ya sauti, Meneja wa lebo ya mziki ya WCB nchini Tanzania amuomboleza mkewe

Meneja wa Diamond Platinumz ambaye ni mwanamuziki nyota nchini Tanzania,Babu Tale anamuomboleza mkewake aliefariki hapo jana nchini humo.Shammy anatarajiwa kuzikwa hii leo.Babu tale ni meneja wa muziki wa diamond ambaye amezindua kibao kipya cha Amaboko alichomshirikisha Rayvanny.