China yazindua mfumo wa kutambua unyanyasaji
Jiji moja mashariki mwa china linaanzisha mfumo unaowaruhusu wapenzi wanaotarajia kufunga ndoa kuangalia ikiwa mwenzie ana historia ya unyanyasaji.Yiwu, katika mkoa wa Zhejiang, inazindua mfumo huo ambao utaanza kutumika julai mosi.
