Je, ni kwanini mtandao wa Twitter unaomba msamaha?

Maelezo ya sauti, Je, ni kwanini mtandao wa Twitter unaomba msamaha?

Mtandao wa Twitter umetuma barua pepe kwa wateja wake wa biashara kuwaambia kwamba huenda taarifa zao za kibinafsi zilidukuliwa. Takwimu hizo za kibinafsi zinajumuisha anwani za barua pepe, nambari za simu na nambari 4 za mwisho za kadi zao za malipo.Je unadhani kuna usalama wa deta binafsi unapotumia mitandao ya kijamii? Sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, wa BBCSwahili.