Corona: Novak Djokovic niwakulaumiwa kwa kuandaa mashindano ?
Mcheza tenisi namba moja nchini Engalnd kwa wanaume Dan Evans anasema Novak Djokovic anapaswa kujisikia vibaya baada ya Grigor Dimitrov, Borna Coric na Victor Troicki kupata maambuziki ya Covid19.Inaonyesha kuwa wachezaji hao walipata maambukiz ya covid19 waliposhiriki mashindano ya Adria Tour yaliyoandaliwa na Novak Djokovic
