Beyonce azindua kibao kuhusu ubaguzi wa rangi

Maelezo ya sauti, Beyonce azindua kibao kuhusu ubaguzi wa rangi

Mwanamuziki nguli Beyoncé amezindua wimbo wake mpya wa Black parade masaa kdhaa baada ya kutangaza mpango mpya wa kusaidia biashara zinazomilikiwa na watu weusi. Wimbo huo una ujumbe muhimu kuhusu historia ya watu weusi, ukatili wa polisi na maandamano ya George Floyd Mmarekani alieuwawa mikononi mwa polisi.