Michuano ya tenisi kuanza Agosti 31
Serena Williams anasema anatarajia kucheza bila ya mashabiki kwenye michuano ya US Open inaotarajiwa kuanza Agosti na ametamba kwamba ataweka rekodi inayofanana na ile ya grand slam yake ya 24. Michuano hiyo itafanyika bila mashabiki huko New York kutoka Agosti 31.
