Beth apata umaarufu kwa kutumia vipodozi kujichora
Tembelea tovuti ya BBC umtazame mwanamke anaetumia vipodozi kujifananisha na watu mashuhuri kama vile tiger king ,Donald trump na wengineo. Msanii huyo wa tasnia ya upambaji Beth Gallagher mwenye umri wa miaka 25 amejizolea umaarufu mkubwa mitandaoni.
