Corona: Umekumbana na habari zipi potofu kuhusu lishe bora?

Huku janga la corona likiendelea kuathiri mataifa mengi kote duniani,ushauri wa kupotosha wa kiafya unazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii kama vile namna ya kuvaa barakoa, lishe bora,tiba za corona na mengineo.je ushawahi kusoma baadhi ya taarifa hizi ?tupe maoni yako.