Barakoa inayoendeshwa na rimoti

Maelezo ya sauti, Barakoa inayoendeshwa na rimoti

Barakoa iliyo na nafasi mdomoni ambayo inaendeshwa kwa kutumia kifaa aina ya rimoti imezinduliwa huko Israel. Unaweza kuifungua kwa kutumia rimoti au uifungue na mikono yako mwenyewe pale kijiko kinapokaribia mdomoni unapokula.Tizama inavyofanya kazi kwenye tovuti ya bbc.