Barakoa za mitindo tofauti zatengezwa kwa wingi
Barakoa zimekuwa bidhaa muhimu sana wakati huu wa mlipuko wa virusi vya corona na sasa ulimwengu wa fasheni unahakikisha kuwa barakoa zinakuwa zakupendeza na za mitindo tofauti. Kwa sasa wengine wanazifananisha na nguo zao wanazovaa kila siku. Je, unapendelea mitindo ya kufurahisha kwenye barakoa yako?sema nasi
