Picha kabla ya corona zasambaa mitandaoni
Maelfu ya watu wamejitokeza kutuma picha zao ambazo walipiga mwisho kabla ya janga la corona kuvamia dunia. Hii ni baada ya Hashtag kuanzishwa katika mtandao wa twitter ya #LastNormalphoto. Tupe maoni yako, bbcswahili.
