Mwanamuziki wa kike wa Uganda Juliana Kanyamozi ajifunguwa mtoto wa kiume

Maelezo ya sauti, Mwanamuziki wa kike wa Uganda ajifunguwa mtoto wa kiume

Mwanamziki kutoka Uganda Juliana Kanyomozi amejifungua mtoto wa kiume usiku wa kuamkia leo na kumpa jina la Taj.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, nyota huyo wa kibao maarufu cha usiende mbali alichomshirikisha bushoke kutoka Tanzania ametangaza habari hizo njema kwa kuweka picha yake na mwanawe mchanga wakiwa hospitali.