Mwanamziki Rihanna aingia orodha ya 'matajiri' ya Sunday Times

Maelezo ya sauti, Mwanamziki Rihanna aingia orodha ya 'matajiri' ya Sunday Times

Mwanamuziki Rihanna ametajwa na gazeti la Sunday Times kama mwanamke tajiri katika tasnia ya mziki.Utajiri wake unakadiriwa kuwa pauni milioni 468. Rihana anasemekana kuwashinda Sir Elton John na Mick Jagger kwa kupata nafasi ya tatu.