Huenda viilabu vya Ligi ya England vikalipa £ milioni 340
Vilabu vya Ligi kuu England vimeambiwa huenda vikatakikana kulipa Pauni laki 340 kwa vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa hata kama ligi itarejea na kuchezwa bila ya mashabiki.
Maafisa wa vilabu mbalimbali walikutana hapo jana kujadili mustakabali wa ligi ya EPL.