Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Selena Gomez ashtaki kampuni inayotengeza mchezo wa simu
Mwanamuziki kutoka Marekani Selena Gomez anawashitaki watengenezaji wa michezo ya simu janja, akidai walitumia sura yake bila ruhusa.Programu ya The Clothes Forever Styling Game inaruhusu wachezaji kuwavalisha midoli ya watu mashuhuri nguo za kupendeza. Gomez amepata umaarufu sana kwa vibao kadhaa ikiwemo cha Rare